LATEST AUDIO#VIDEOS

New AUDIO | Diamond Platnumz Feat Mr Flavour - Nana | Download/Listen

Official Video HD | Diamond Platnumz Feat Mr Flavour - Nana
New AUDIO | MKUBWA NA WANAWE - CHEZA KIMADOIDO | Download/Listen

https://mkito.com/song/cheza-kimadoido/14595/bwi-1-29123Diamond Plutnumz Kuachia Video Ya Collabo Yake Na Mr Flavour Kupitia BET International.


Diamond ame tease kuachia video ya collabo yake na Mr Flavour kupitia BET International
Toka mwanzoni mwa wiki hii Diamond Platnumz na crew yake wamekuwa waki-tease vitu kwa mafumbo kuashiria kuna kitu kikubwa kinakuja. 
Hatimaye Diamond Platnumz mwenyewe ameweka wazi kuwa anaachia video na ngoma mpya aliyomshirikisha Mr. Flavour wa Nigeria iitwayo ‘Nana’.

Kupitia Instagram Diamond ameshare fomu inayoonesha kuwa ameituma video hiyo kwenye kituo cha Runinga cha kimataifa BET International. Katika fomu hiyo inaonesha kuwa video hiyo iliyoongozwa na Godfather inatarajiwa kutoa May 29, 2015. 
MFAHAMU MR FLAVOUR HAPA!!
br />


Official Video HD | JEFRYDER Ft. GITAA - MIPANGO IMEBUMA

http://youtu.be/yprGuOj6tpcNew AUDIO | Asia Mjuni - Nimetulia Nae | Download/Listen

New AUDIO | Young Dee - Cowbama | Download/Listen

https://mkito.com/song/cowbama/14589/bwi-1-29063New AUDIO | FLORA MBASHA - HONGERA HALIMA MDEE | Download/Listen

https://mkito.com/song/hongera-halima-mdee/14570/bwi-1-29010New AUDIO | Sajna - Nakosa Story | Download/Listen

http://old.hulkshare.com/dl/tbnrd9hstf5s/sajna_nakosa_story_prod_by_fraga_uprise_music.mp3?d=1Jishindie Smart Phone kila week | Show Time New Chapter

Jumatatu ya Tarehe 25/5/2015 Radio Free Africa ilianzisha New Segment kwenye kipindi chake cha Show Time New Chapter kinachorushwa hewani kila Jumatatu hadi Ijumaa saa nane mchana hadi saa kumi jioni. Kwenye New Segment Video challenge wanachagua video ya msanii yoyote na kuiweka katika Video Challenge kwa mwezi mzima . Katika Video challenge msikilizaji unatakiwa kuangalia video iliyochaguliwa na unawatumia screen shot wakati unaangalia hiyo video ili uweze kujishindia zawadi kama vile vocha na smart phone. Screen shots zinatumwa whatsap +255 655 357 525, instagram @bizzo_showtime na pia kwenye harshtag #showtime_newchapter2015 . Kila siku washindi wawili wanapatikana na kutangazwa hewani kwa ajili ya zawadi ndogo ndogo ikiwa ni pamoja na vocha za simu halafu kila ijumaa kuna kuwa na draw kubwa ya kupata mshindi wa smart phone. Unaweza sikiliza hapa chini washindi wawili wa vocha na pia Galaxy akipewa taarifa ya video yake kupata nafasi ya kuwa ya kwanza kwenye New Segment ya video challenge.

http://www.audiomack.com/song/digital-city-drimz/rfa-show-time-new-chapter-video-challenge-mshindi-2

Na Video inayoangaliwa katika video challenge ndio hii hapa:New AUDIO | Ruby - Na Yule REMIX By BEN D | Download/Listen


http://old.hulkshare.com/dl/h3bxntg1avwg/Ruby_-_Na_Yule_REMIX_By_BEN_D.mp3?d=1New AUDIO | LIZINKA - ONLY YOU | Download/Listen

https://mkito.com/song/only-you/13672/bwi-1-28990New AUDIO | SAN DEE x NAY WA MITEGO - KIBOKO YA MABISHOO | Download/Listen

http://old.hulkshare.com/dl/oibdu5ouhfcw/SAN_DEE_Ft._NAY_WA_MITEGO__-_KIBOKO_YA_MABISHOO.mp3?d=1
Official Video HD | Kennito - Jirani

https://www.youtube.com/watch?v=L1tWk7Q75ikNew AUDIO | Mirror - Hapo Ulipo | Download/Listen

http://old.hulkshare.com/dl/u2lri1g3ey9s/Mirror_-_Hapo_Ulipo.mp3?d=1Juma NATURE - Inaniuma Sana RMX Ft. Msaga Sumu l | Download/Listen

https://mkito.com/song/inaniuma-sana-rmx-ft-msaga-sumu/14511/bwi-1-28966New AUDIO | Hunter Boy ft Levy - African Girl l | Download/Listen

New AUDIO | Mtoza mc - Usihubiri Tena l | Download/Listen

http://old.hulkshare.com/dl/2eurxob9vev4/Mtoza_mc_-_usihubiri_tena.mp3?d=1Hawa Ndio Washindi Wa Tuzo Za Watu 2015 #‎TuzozaWatu2015‬


Tuzo za watu 2015 zimetolewa Ijumaa hii kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa ‘surprises’ za kutosha. Mshindi mkubwa kwenye usiku huo na ambaye amekuwa surprise kwa wengi ni mtangazaji wa TBC FM, D’jaro Arungu aliyeibuka na tuzo mbili. 

D’Jaro alikuwa akishindana na Millard Ayo kwenye vipengele hivyo viwili ambaye hata hivyo alishinda pia kipengele cha blog inayopendwa.
“Mtu yeyote aliyekuwa anashindani halafu anaamini anaweza kupata nafasi lazima imshtue,” Millard ameiambia Bongo5. 

“Lakini inakushtua kwa njia nzuri kwamba kuna kitu kimemiss au labda unatakiwa ufanyie kazi zaidi. Lakini pia kura zinamata, inachangia sehemu zote, inawezakana ubora wa kipindi na kura pia. 
Lakini all in all mimi nampongeza sana D’Jaro Arungu, ameshinda kura zote mbili, ni changamoto pia, inatupa nafasi sisi wenyewe kushindana lakini inasaidia pia kufanya kazi kwenye biashara yetu vizuri.”
Hii ni orodha kamili ya washindi

Mtangazaji wa redio anayependwa
D’Jaro Arungu – TBC FM

Kipindi cha redio kinachopendwa
Papaso – TBC FM

Mtangazaji wa runinga anayependwa
Salim Kikeke – BBC Swahili

Kipindi cha runinga kinachopendwa
Mkasi – EATV

Blog/Website inayopendwa
Millardayo.com

Muongozaji wa video anayependwa
Hanscana

Muongozaji wa filamu anayependwa
Vincent ‘Ray’ Kigosi

Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa
Wema Sepetu

Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa
Hemedy PHD

Mwanamuziki wa kike anayependwa
Lady Jaydee

Mwanamuziki wa kiume anayependwa
Alikiba

Filamu inayopendwa
Kigodoro

Video ya muziki inayopendwa
Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz New AUDIO | Quick Rocka - Beautiful | Download/Listen

http://old.hulkshare.com/dl/f8ue0h3twkqo/Quick_Rocka_-_Beautiful.mp3?d=1Official Video HD | Hussein Machozi – ULIKUWA WAPI?

https://www.youtube.com/watch?v=f-LpCdJjsL8http://goo.gl/nNMlCi