Pin Song

New AUDIO | Joslyn ft stoper - Tesa nae | Download

Baada ya kufanya ngoma iliyojulikana kwa jina la "Sio Kiivyo" yenye maadhi ya riddim, wasanii wawili wakali katika gemu la Bongo Flava ambao kila mmoja anauwezo wake tofauti na ni tofauti ukisikia tu unajua huyu ni Joslin au huyu ni Stopa The Rhymecca kutokana na utofauti wao musically. Sasa wanarudi na ngoma nyingine kali inayofahamika kwa jina "Tesa Nae"
 Ngoma hiyo imetengenezwa na mtayarishaji wa mapigo ya muziki anaefahamika kama Davi_Dizzo ndani ya Legend Studio.. "Natesa Nae" kutoka kwa Joslin akiwa amemshirkisha Stopa The Rjymecca..
http://old.hulkshare.com/dl/e21lr6wng268/Joslyn_ft_stoper_-Tesa_nae__DJMwanga.com.mp3?d=1

No comments