Pin Song

New AUDIO | Barakah Da Prince - Sio Fine | Download @barakahdaprince

Barakah Da Prince Mwanzoni ulimsikia na wimbo wa Jichunge ambao video yake ilifanywa na Director Nisher kutoka Arusha,leo July 02 ameamua kuachia wimbo wake ambao kasema ni zawadi maalum kwa mashabiki wake waliompokea vizuri na wimbo wa Jichunge.
Huu unaitwa Sio Fine amautoa wakati akijiandaa na single yake maalum itakayotoka October, wimbo huu uliwahi kusikia kwenye vituo vya Mwanza na kanda ya ziwa ila katika aina tofauti na hii,ingawa haukutoka rasmi kwa sasa ameamua kuurekodi upya na kwa kiwango bora zaidi ili uweze kuwafikia mashabiki wote wapya na wa zamani.
http://old.hulkshare.com/dl/ycfj82gqoikg/BARAKAH_DA_PRINCE_-_SIO_FINE.mp3?d=1

No comments