Pin Song

New AUDIO | Oscar nyerere Na Dr Mfyuzi Ft Ally Nipishe - Amani | Download

Wimbo huu Umeimbwa na baadhi ya waigizaji sauti nchini yani Oscar Petro maarufu kama Oscar nyerere  na Shaphii Omary maarufu kama dr.mfyuzi unaosisitiza Amani ya nchi yetu  Tanzania kwa kutumia sauti ya hayati Baba wa Taifa na sauti ya raisi wa awamu ya nne dr Kikwete.Wimbo una mahadhi ya kuhutubia lakini pia una chorus iliyoimbwa na Ally Nipishe toka THT.
Video ipo njiani  inayotarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi huu wa nane 2014.
http://old.hulkshare.com/dl/u47to7eaugow/Oscar_nyerere_Na_Dr_Mfyuzi_Ft_Ally_Nipishe_Amani.mp3?d=1

No comments