Pin Song

New AUDIO | Sauiti Ya Babu - Ukweli | Download

Sauti Ya Babu ni msanii mwenye ujumbe mzito kwa taifa la leo. Mzee huyu anayo shahada ya udaktari na binadamu kutoka nchini Cuba na amekuwa mtumishi wa Serikali na kiongozi katika idara ya afya. Alianza kutengeneza muziki tangu mwaka 2010. Mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi hapa nchini yamemsukuma kuanza kutoa nasaha kwa njia ya nyimbo.
https://mkito.com/song/ukweli/2471/bwi-1-760

No comments