Pin Song

EAST COAST TEAM IS BACK

MWANA FA & CREAZY GK
KATIKA HALI INAYOONYESHA WAZI UJIO WA PROJECT MPYA TOKA KWA MOJA YA KUNDI KONGWE KWENYE MUZIKI WA KIZAZI KIPYA [BONGO FLAVA]"THE EAST COAST TEAM"NDIYO KAMA UMEWADIA,
JUU NI PICHA INAYOWAONYESHA WASANII HAMISI MWINYIJUMA"MWANA FA" NA GWAMAKA KAILUA "CREAZY GK" WAKIWA NDANI YA STUDIO ZA MJ RECORDS JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA MAANDALIZI YA MOJA YA KAZI ZAO MPYA,Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

1 comment:

  1. Ni kitu kizur kurud km kundi imekaa pwah sana...

    ReplyDelete