New AUDIO | Nazizi - OVER YOU | Download
Wimbo mpya kutoka Super star wa Reggae, Ragga na Dancehall kutoka nchini Kenya - Nazizi. Wimbo unaitwa OVER YOU
na umeandaliwa na Producer SAPPY. Wimbo huu umetoka kwenye E.P. ya
Nazizi iitwayo EVO LLUSION ambayo imetoka chini ya label ya Lovechild
records.
Twitter: @djmwanga
Instagram: @djmwanga
Facebook Fans Page: DJMwanga
Twitter: @djmwanga
Instagram: @djmwanga
Facebook Fans Page: DJMwanga
No comments