The AVENUE MAWAZO HURU S04 EP09 Idris Sultan

https://www.youtube.com/watch?v=GRcdb-x-Fsg

Tunaongea na kijana ambaye amepata zaidi ya milioni 550 za kibongo baada
ya kushinda big brother Africa 2014, nini maoni yake kuhusu
mafanikio?,je atasaidiaje vijana wengine bongo ambao bado hawajatoka? je
yeye na Mh January Makamba ilikuwaje wakafanya birthday pamoja? hayo na
mengine angalia hapa..kipindi kinaruka TBC 1 kila jmosi saa 3:30 usiku na marudio saa * mchana Jtatu..jiunge na Page yetu hapa youtube kupata kuangalia video zote.
Tupo instagram,facebook na twitter @mawazohuru au @anganile




Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *