Pin Song

Msanii MRISHO MPOTO Pamoja Na Timu nzima ya PSPF waingia Mkoani RUVUMA katika Wilaya ya NAMTUMBO


Msanii Mrisho mpoto leo ametembelea Baadhi ya shule zilizopo Mkoani Ruvuma katika Wilaya ya Namtumbo kiijiji alipozaliwaHii ni kwa msukumo na msaada kutoka PSPF katika jicho lingine la kuitazama Elimu ikiwa kama chanzo na mwanzo mzuri kwa kizazi kijacho

Misaada hiyo iliyotolewa na Mrisho Mpoto akiwa kama balozi wa PSPF ni pamoja na vifaa vya shule na vitendea kazi kwa wanafunzi hao a shule za msingi.JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

No comments