Pin Song

New AUDIO | Joh Harakati feat Walter Chilambo - September 14 | Download/Listen

Track hii ambayo inaelezea nusu ya maisha Ya Joh Harakati niliyopitia mpka hapa leo nilipo na kila nilichokiimba kinanigusa mimi kwa 100% .
September 14 nilizaliwa na baada ya miaka 2 kupita baba alifariki na kubaki na mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpka wote tukapata misingi na tumezaliwa watoto 11, 2012 mama yetu mpendwa alifariki. Nakupitia Track hii
 
DOWNLOAD via MKITO
https://mkito.com/song/september-14/16265/bwi-1-32225

JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

No comments