PRESS RELEASE: NAVY KENZO FEATURES R2BEES A GHANAIAN MUSIC GROUP | NAVY KENZO WAFANYA COLLABO NA KUNDI KUTOKA GHANA


Kundi la Navy Kenzo linaloundwa na producer na muimbaji pamoja na mwimbaji Aika hivi karibuni walikuwa nchini South Africa walikoenda kutumbuiza mbele ya maelfu katika tamasha la African Music Concert (AMC)
Baada ya tamasha hio lililofanyika Jumamosi Nov 21. Jijini Johannesburg, na kuwakutanisha wasanii mbalimbali wa Africa kwenye jukwaa moja kama Wizkid, Davido, Vanessa Mdee, Victoria Kimani na wengine, hit makers hao wa “Game”, Navy Kenzo walipata fursa ya kuingia studio kurekodi colabo na kundi la R2Bees kutoka nchini Ghana.
“Something z comin @navykenzoofficial ft @r2beesmusic #goodmusiconly” aliandika Nahreel kwenye ukurasa wake wa Instagram.
R2Bees ni kundi linaoundwa na wasanii wawili ambao ni ndugu (binamu), Faisal Hakeem (Paedae da Pralem) na Rashid Mugeez (Mugeez). Miongoni mwa tuzo  kubwa walizowahi kushindania ni pamoja na BET Awards 2013 Best International Act: Africa na ni washindi wa tuzo nyingi zikiwemo 9 za Ghana Music Awards.

------------------------------------------------------
Navy Kenzo is a Tanzanian based music duo that’s led by producer and singer Nahreel together with vocalist/rapper Aika. The duo was recently in South Africa where they got the honour of performing for thousands at the African Music Concert (AMC)
After the concert that went down on the 21st of November in Johannesburg that featured Africa’s hottest musical acts such as Wizkid, Davido, Vanessa Mdee, Victoria Kimani and others, Navy Kenzo famous for their smash hit “Game” hooked up with R2Bess, a music group from Ghana and hit the studio together.
Nahreel of Navy Kenzo later took it to his Instagram to share the good news of the collabo between the two groups by posting a caption with the words “Something z comin @navykenzoofficial ft @r2beesmusic #goodmusiconly”
R2Bees is a group that’s made up of two musical artists Faisal Hakeem (Paedae da Pralem) and Rashid Mugeez (Mugeez). The two being cousins. The group were nominated for Best International Act: Africa at the BET Awards in 2013 and have managed to scoop several awards including 9 Ghana Music Awards.
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga
USI SAHAU KULIKE

0 comments: