Pin Song

Jina Langu Halipotei Album Launching Party Promo Video - Tdx Wangex

Uzinduzi wa Album Ya TDX 'Jina langu Halipotei' Utafanyika Tarehe 20/12/2015 pale Club 71 Tegeta Kibaoni, kwa Kiingilio cha Tsh 7000 Utaweza kupata burudani kutoka kwa Wasanii kibao kama, Linex, Kala Jeremiah , Becka Ttile, Chindo Man, P THe Mc, na wengine kibao. Pia kutakuwa na mauzo ya hapo kwa hapo yanayojumuisha Cd na T-Shirt za Jina Langu Halipotei

CD Zinapatikana kwa Bei ya Tsh 5000/=
Tickets zinapatikana kwa Tsh 7000/=
T-shirt zinapatikana kwa Tsh 20000/=http://old.hulkshare.com/dl/re9kad8mxbeo/Tdx_Wangex_Feat_Ibra_Dah_Hustler_-_Jina_Langu_Halipotei.mp3?d=1JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

No comments