New AUDIO | Stamina - Panga Pangua Ft. Mr Blue | Download

Leo Stamina ameachia album yake aliyokuahidi Mt. Uluguru ikiwa na nyimbo 20!

Licha ya hiyo, Stamina ameongeza nyimbo 6 BONUS kwenye album hiyo ambazo zitakuwa zikipatikana Mkito.

Wimbo wa kwanza kwenye bonus hizo ni huu hapa akimshirikisha Mr Blue, Panga Pangua!
 DOWNLOAD via MKITO
https://mkito.com/song/panga-pangua-ft-mr-blue/18431/bwi-1-36182JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga
USI SAHAU KULIKE

0 comments: