Video: Msanii wa India atumia BEAT ya nyimbo ya Dully Sykes katika wimbo wake

https://www.youtube.com/watch?v=Z3wE645VStE

Hii ni nyimbo iliyofanywa na Dully Sykes pamoja akiwashirikisha Diamond
Platnumz
na Ommy Dimpoz, beat ya nyimbo hiyo imetumiwa na Msanii wa
kihindi na nyimbo yenyewe inaitwa Aana Voona Darling, hebu icheki hapa
chini:

Beat ya nyimbo hiyo hapo juu ni sawa kabisa na beat ya nyimbo ya Dully
Sykes
inayoitwa UTAMU aliyowashirikisha Diamond Platnumz pamoja na Ommy
Dimpoz
, Nyimbo ya Dully Iko hapa Chini:

JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *