Msanii mkongwe wa rap na bongo fleva King Crazy GK aliyewahi kuwa kiongozi wa East Coast Team ametoa video mpya. video hii inaitwa Mzuri Pesa.