Alikiba Aelezea Ujio wa single mpya aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz

14540418_1276590469048658_7460279182933622784_n

October 28, 2016 ambapo mkali kutoka Bongo Flevani, Alikiba amefunguka na kuweka wazi ujio wa single mpya aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz iitwayo #Kajiandae.

Staa huyo akizungumza kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa kupitia Clouds TV aliyaongea haya>>>>Kiukweli kwanza ni wimbo mzuri pili maandalizi ya video hiyo tayari tumeshafanya na jina la wimbo unaitwa Kajiandae kwahiyo mashabiki wangu na mashabiki wa Ommy Dimpoz wakati wowote watapata ladha nzuri tu kwani najua ni kitu gani mashabiki wa muziki wangu wanachokitaka kutoka kwangu’

ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *