Ni mkali wa freestyle na tumemsikia kwenye covers kama Asanteni kwa kuja ya Mwana F.A, Chafu pozi ya Billnass na pia anamiliki hits kama Super Marioo, Sijali na nyinginezo. Anaitwa Motra The Future, asili yake ni mkoa wa Arusha na leo ameiachia hii Exclusive “Yote ni maisha remix” na amemshirikisha Banana Zoro.
DOWNLOAD
Nakukubari sana Motra the future unatisha we mnyama hushindwi k2 nakufananisha na fundi mmoja iv @Mgalilaya anatamba na ngoma yake amemshirikisha Mesen select inaitwa fainaly dah nyie noma
Nyc hollaaaa zoro for vocal