Pin Song

TAFADHALI UPDATE DJMwanga App Version 1.0.7

Tafadhali kama una App yetu ya DJ Mwanga App Tumeboresha Upande Wa Notification/Taarifa
>Nenda Play Store , Tafuta “DJ Mwanga” Kisha Bonyeza Install au Bonyeza Update.
Baada ya App kumaliza Ku-update/ Ku-install fungua App na utaona Tayari Nyimbo Zimekuja…
Pia Kwa Sasa Utaweza Kupata Taarifa/Notifications Pindi tu Tutakapoweka Nyimbo Mpya ZOTE.
Pia utaweza kutafta(Search) nyimbo zote za Sasa na zaZamaani Kwenye Application ya DJ Mwanga
Asante Kwa Kuchagua DJMwanga App kama Appication yako ya Burudani na Tuwie Radhi Kwa Tatizo lililotokea.
Pia unaweza Kuidownload Kwa KUBONYEZA HAPA

No comments