AUDIO | Akali HO – Joto | Download

About Joto
Akali HO amerejea tena na hit nyingine mtaani JOTO. Huu ni mwendelezo wa bandika bandua ya hits baada ya kufanya poa na HUKUPENDA wiki chache zilizopita. Imekuwa kama surprise kwa wengi tuliomzoea Akali HO kama rapper na hapa akatuletea radha nyingine tofauti.
Joto inatazamiwa kufanya poa zaidi hasa kwenye maeneo ya starehe. Ikiwa ni production ya mkali wa midundo H Pol kutoka studio za Delta Music
Enjoy muziki mzuri kutoka Delta

 

ad