Pin Song

AUDIO | Sam Wa Ukweli - VIMBA | Download

Sam Wa Ukwel - VIMBA Download Mp3 AUDIO
Inapokuwa ngumu kuishi Jana Bado inabaki kuwa rahisi moyo kuthibitisha Jema lake la Jana hiyo hiyo.
Hata kama uhai utatoka bado neno litaishi nahuu niukwel ambao #Samwaukweli alisema yupo ambae unamuhusu nao ni #VIMBA.
Wote tungetamani mengi atamke anene nakuimba nasi lkn mjulishe yeye,na yule kwamba #Vimba ni sehemu yakile alichotuachia.
KWA AJILI YA UPENDO WA #Samwaukweli NA WALIMWENGU SOTE TUIMBE #Vimba 
Producer By Mazuurecord

No comments