Diamond Platnumz Ft. Rayvanny – SALOME | Lyrics/Mashairi

[Verse 1: RayVanny] Kioo hakidanganyi mama Umejipodoa umepodoka Mwendo na shape vyote mwanana Mi suruali yanidondoka Tukimbizane nini Salome wangu? Hiyo michezo ya jogoo Mbona watizama chini Salome wangu? Ukimuona jongoo Inama kidogo Shika magoti Mi nimesimama kama ngongoti Mtoto jojo sio roboti Chumbani bingiribingiri ‘samasoti’ [Chorus: Diamond Platnumz] Unantenkenyaga ukinyonga Salome (Unantekenyaga ukinyongaa) Unantenkenyaga…