AUDIO | WCB Wasafi (Diamond Platnumz, Harmonize, Rich Mavoko & Rayvanny) – Zilipendwa | Download

3 thoughts on “AUDIO | WCB Wasafi (Diamond Platnumz, Harmonize, Rich Mavoko & Rayvanny) – Zilipendwa | Download

  1. nguvu za mabishano na matusi kuhusu sijui team kiba sijui team mondi situngezipeleka ata shamba kuliko kuzipoteza kwenye social media kutukanana kwa ajili ya wengine afu cha ajabu unaeza kuta mtu anashadadia sana akati ana bando la kukopa tupoteze muda kutafuta mali maana hawa wakuu wa hzo team wana mali zao tayari na hwajawai ata kutupatia jero la vocha amka MTANZANIA dhama za utumwa zimekwisha why tuendelee kuwa marimbukeni???????

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *